Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki.
Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa yanatoa sadaka yakiwa nazo.
Sijauliza tu wakati wa kumpiga mawe shetani huwa yenyewe yanafanya nini. Je ndo sababu hasa pia yakiwa huko kuna watu wengi hufariki kila mwaka?tumsikilize mtaalamu.