Video: Kipindi cha Mfungo Majini yanafunga, yanaenda kuhiji na kutoa Sadaka. Yanakuwa Msikitini Mecca

Video: Kipindi cha Mfungo Majini yanafunga, yanaenda kuhiji na kutoa Sadaka. Yanakuwa Msikitini Mecca

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki.

Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa yanatoa sadaka yakiwa nazo.

Sijauliza tu wakati wa kumpiga mawe shetani huwa yenyewe yanafanya nini. Je ndo sababu hasa pia yakiwa huko kuna watu wengi hufariki kila mwaka?tumsikilize mtaalamu.

Unamaanisha wale majini waislamu sio ?
kama hao lazima washike nguzo zote za dini yao.
 
Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki.

Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa yanatoa sadaka yakiwa nazo.

Sijauliza tu wakati wa kumpiga mawe shetani huwa yenyewe yanafanya nini. Je ndo sababu hasa pia yakiwa huko kuna watu wengi hufariki kila mwaka?tumsikilize mtaalamu.

View attachment 3271414
Majini ndio hayo hayo mapepo wachafu
 
logic rahisi tu ni kwamba uovu wote unasababishwa na watu,ila sisi tunasingizia hayo majini.

wakati wa ramadhani watu wanapunguza pilika za dhambi na hivyo hayo “majini” yanaondoka na watu kuacha pilika nyingi.

ukitaka kujua hayo majini ni watu fuatilia mahali penye waislamu wengi inapofika muda wa baada ya kufuturu,shughuli za kkawaida za watu zinarudina mambo kama ajali n.k yanarudi sababu watu wanarudi kwenye utaratibu wa kawaida.Ingawa bado rate inakua bdogo kwa sababu usiku pilika pia siyo nyingi.

Niliwahi kuishi Zanzibar….kule wakati wa ramadhan huu hata idadi ya watu mtaani inakua ndogo sanaaa,watu wengi wanakua kupumzika ili kutunza energy,wanaandaa vyakula n.k,kwa sababu ya mfungo hutosikia tusi kama walivyozoea kutukana wazanzibari,kwahiyo kwa mantiki hiyo hawatagombana…lakini pia vile vijiwe vya wacheza bao havipo,kwahiyo ule muingiliano wa watu unapungua so unapunguza migongano,amani inatawala…

Kwa kifupi hakuna kitu kinaitwa “majini” hayo ni illusion tu za watu kutaka kuficha uovu wao kwa kusingizia hayo.
 
Back
Top Bottom