Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Acheni Ulozi. Kama vipi hamieni Gamboshi.Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufungq CCVT. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi?
Sisi tumemchukua kocha wenu yeye anafahamu njia za kupitia katika ule uwanja. Anatosha mengine ni upuuzi tu na hatuna haja nayo. Kocha wenu katuambia kila kitu kuhusu uwanja. Acheni ufalah nyie KMC.
View attachment 3151440
Komeo ............umekasirika?Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufungq CCVT. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi?
Sisi tumemchukua kocha wenu yeye anafahamu njia za kupitia katika ule uwanja. Anatosha mengine ni upuuzi tu na hatuna haja nayo. Kocha wenu katuambia kila kitu kuhusu uwanja. Acheni ufalah nyie KMC.
View attachment 3151440
Au Mwembe Yanga.....itakuwa vizuri.... 😀Muache
Acheni Ulozi. Kama vipi hamieni Gamboshi.
Tukuulize wewe boya.... Si ndo uliyeandika hapo,CCVT ndio mnyama gani?
Shule mnaenda kusomea kuroga au kulamba mbususu??
Sasa watu wasiweke camera uwanja wao?mnafiki mkubwa wewe hamna lolote hivi mnadhani mtaishusha yanga kwafitina zenu??????
Wewe ni Kei mbofu mbofu unaedit halafu unaleta ungese hapa.Tukuulize wewe boya.... Si ndo uliyeandika hapo,
Dogo hiyo ni rahisi sana hata ku edit ni kutumia tu adobe photoshop hata ningetaka kuweka jina lako lingekaa. Nyie papuchi za miaka ya 2000s ni shida sana....Wewe ni Kei mbofu mbofu unaedit halafu unaleta ungese hapa.
Unadhani sisi wote ni MEMKWA??
Ogopa teknolojia dogo,nilikua utabisha ndio maana nikascreenshoot mapema.
Bata wa hedi..
View attachment 3151453
Acha ubishi wewe dogo wa MEMKWA mbona unapenda ligi za kindezi.??Dogo hiyo ni rahisi sana hata ku edit ni kutumia tu adobe photoshop hata ningetaka kuweka jina lako lingekaa. Nyie papuchi za miaka ya 2000s ni shida sana....
Kwanini muogope camera mna maovu gani mnataka kuyaficha? Na jee toka lini mpangaji akampangia masharti mwenye nyumba? Kumbe kweli huko nyuma mwiko kuna wajinga tupu.Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi?
Sisi tumemchukua kocha wenu yeye anafahamu njia za kupitia katika ule uwanja. Anatosha mengine ni upuuzi tu na hatuna haja nayo. Kocha wenu katuambia kila kitu kuhusu uwanja. Acheni ufalah nyie KMC.