Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

Wewe ni Kei mbofu mbofu unaedit halafu unaleta ungese hapa.
Unadhani sisi wote ni MEMKWA??

Ogopa teknolojia dogo,nilikua utabisha ndio maana nikascreenshoot mapema.
Bata wa hedi..
View attachment 3151453
Dogo hiyo ni rahisi sana hata ku edit ni kutumia tu adobe photoshop hata ningetaka kuweka jina lako lingekaa. Nyie papuchi za miaka ya 2000s ni shida sana....
Acha ubishi wewe dogo wa MEMKWA mbona unapenda ligi za kindezi.??
Mods pigeni lifetime ban huyu mtu muongo muongo hapa JF.
 
Kwanini muogope camera mna maovu gani mnataka kuyaficha? Na jee toka lini mpangaji akampangia masharti mwenye nyumba? Kumbe kweli huko nyuma mwiko kuna wajinga tupu.
Hizo camera hazitawekwa nakuhakikishia. Zikipigwa simu mbili tu basi. Hamna kitu hapo. Kama hazikuwepo kwa nini sasa waweke? Wanataka kupiga pesa tu hao jamaa. Ni wezi tu.
 
Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi?

Sisi tumemchukua kocha wenu yeye anafahamu njia za kupitia katika ule uwanja. Anatosha mengine ni upuuzi tu na hatuna haja nayo. Kocha wenu katuambia kila kitu kuhusu uwanja. Acheni ufalah nyie KMC.

sasa kama hazitalinda kitu kelele za nini, vyura bhana ubaya ubwela
 
Katika kipindi hiki cha likizo wangeboresha uwanja ule wa moro ukawa wa nyumbani moro sio mbali Sgr tu tumefika
 
Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi?

Sisi tumemchukua kocha wenu yeye anafahamu njia za kupitia katika ule uwanja. Anatosha mengine ni upuuzi tu na hatuna haja nayo. Kocha wenu katuambia kila kitu kuhusu uwanja. Acheni ufalah nyie KMC.
Jengeni uwanja wenu qumamakezenu mbwa nyie mtadharaulika mpaka lini mafala nyinyi na KMC nani ameanza kabla ya mwenzake KMC wamewakuta sasa wana uwanja nyinyi hamna hata uwanja km sio usenge ni nini? Halafu mnavimba jinga kabisa
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Imagine uwanja wao afu mnawapangia cha kufanya.

Jengeni uwanja wenu ili msiweke cctv cameras na muwe mnapita milango sio.
siyo uwanja wao, ule ni uwanja wa Uma, ni kodi zetu zimejenga mkuu!
 
Uto bila ushirikina hawawezi kutoboa yaani walivyo kaziwa tu na uongozi wa azamu wasimwage madawa yao wamekula vichapo mara mbili mfululizo na kmc wakikaza na cctv camera uto anaenda kutoa draw au kupoteza mechi inayofata yaani bila uchawi jamaa ni weupe sana.
 
Watu walitia aibu kule South Africa kwa mambo ya ulozi, halafu hapa ndio wako mstari wa mbele kuishambulia Yanga kwa tuhuma tu za kimajungu majungu!!!
 
Jengeni uwanja wenu qumamakezenu mbwa nyie mtadharaulika mpaka lini mafala nyinyi na KMC nani ameanza kabla ya mwenzake KMC wamewakuta sasa wana uwanja nyinyi hamna hata uwanja km sio usenge ni nini? Halafu mnavimba jinga kabisa
Hata mtukane, record ya vipigo vya mara 4 mfululizo iko pale pale?
 
Back
Top Bottom