Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WW SUBIRIA tu Nyundo ima muhusuApigwe rungu kwa kosa gani alilofanya uliloliona wewe?
aisee, hawa yanga wakikosa tena ubingwa msimu huu basi kazi ipoStress mbaya sana, Embu angalia VIDEO ya Huyu Shabiki wa Utopolo mmojawapo ya Waliofanyafujo anavyobwabwaja ujinga.
Unateseka Kutokea pande zipi mkuuHivi lile kundi la simba ambalo limeandaliwa kuishambulia Yanga sijui mfadhili wake ni nani kila kukicha wako mitandaoni sijui hata kazi wanafanya saa ngapi yule mfadhili wa kikundi hiki atamaliza hela zake bure maana hatafanikiwa
😂😂😂😂😂sasa wakifungwa si watachimbua uwanja mzima
Wanaonajisi soka letu nï tff na board ya ligi wanabingwa hao wamemuandaaNi fedhea sana, ni aibu na haipashwi kufumbiwa Macho kwa hili la Kaze, Kaseke na Wapuuzi wengine wote wa Utopolo wanaolinajisi soka la Nchi yetu. TFF fungieni hawa wote akili zikae sawa.
View attachment 1702181
soka letu nï tff na board ya ligi wanabingwa hao wamemuandaa
Utopolo mnaboa!! Mimi nawaunga mkono wekeni mpira kwapani mkimbilie ligi ya daraja la kwanza!!Hebu tulia kudogo halafu tuambie: Kwa nini hili povu mnalotoa halikuwepo mwanzoni wakati mlipokuwa na uhakika wa kuendelea kuongozpa ligi? Marefa walikuwa wale wale, tff walikuwa wale wale, bodi ya ligi ilikuwa ile ile. Baada ya kuona uhakika wa kuongoza ligi unppatoweka, ghafla kila mmoja amegeuka kuwa mbaya!! Marefa wabaya, tff wabaya, bodi ya ligi wabaya nk!!