Video: Kocha wa Yanga Zahera akizomewa na kutupiwa chupa za maji huko Mwanza

Dah sijui kwanini Yanga walichagua kuchezea Mwanza, pitch sio nzuri, mashabiki sio wengi kivile, na hawana ustaarabu wala uvumilivu. Ila hayo ya kuzomewa na kudhalilishwa kwa Zahera alishatabiri Haji Manara

Your browser is not able to display this video.
 
Dah sijui kwanini Yanga walichagua kuchezea Mwanza, pitch sio nzuri, mashabiki sio wengi kivile, na hawana ustaarabu wala uvumilivu. Ila hayo ya kuzomewa na kudhalilishwa kwa Zahera alishatabiri Haji Manara

View attachment 1246813
Sesten Zakazaka
JF Expert Member
Today at 3:12AM.

Mmmh πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Sesten Zakazaka
JF Expert Member
Today at 3:12AM.

Mmmh πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
Dah! Sorry mpenzi nilishindwa kuvumilia namna mlivochemka hasa kwenye kuchagua uwanja wa kuwachinjia Waarabu ikabidi tu niingie jukwaani muda huo niwanange kidogo😎😎😎
 
Dah! Sorry mpenzi nilishindwa kuvumilia namna mlivochemka hasa kwenye kuchagua uwanja wa kuwachinjia Waarabu ikabidi tu niingie jukwaani muda huo niwanange kidogo😎😎😎
Wacha weee!!!

Hivyo hata usingizi ulikuwa wa kuunga unga leo love. Ila ndio mpira ule bana. 😎😎😎😎
 
Wacha weee!!!

Hivyo hata usingizi ulikuwa wa kuunga unga leo love. Ila ndio mpira ule bana. 😎😎😎😎
Si unajua tena mamii siku nyingine unaota mmecheza na Yanga mmewafunga goli za kutosha halafu upo na Shadeeya wambembeleza na kumfuta machozi asilie sana maana ndio mpira ulivyoπŸ€ͺ

Matokeo yake unaamka usingizini saa tisa usiku unajiuliza ni nini hiki? Hapo sasa ndio unakumbuka kumbe wala tende na maziwa wameshaharibu huko Mwanza🀣🀣🀣
 
Zahera aondoke mwenyewe..kuna siku watamchapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…