Video: Kocha wa Yanga Zahera akizomewa na kutupiwa chupa za maji huko Mwanza

Video: Kocha wa Yanga Zahera akizomewa na kutupiwa chupa za maji huko Mwanza

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Wasukuma sasa hivi wako juu ya sheria kuanzia Bashite hadi kule makao makuu, ni noooma duuh halafu majinga ya Jangwani yakasema yakapeleke mechi uskumani.

Weweeeeee jinga kabisa mngepeleka Chato stadium bora

Dah sijui kwanini Yanga walichagua kuchezea Mwanza, pitch sio nzuri, mashabiki sio wengi kivile, na hawana ustaarabu wala uvumilivu. Ila hayo ya kuzomewa na kudhalilishwa kwa Zahera alishatabiri Haji Manara

View attachment 1246813
Sesten Zakazaka
JF Expert Member
Today at 3:12AM.

Mmmh 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Sesten Zakazaka
JF Expert Member
Today at 3:12AM.

Mmmh 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
Dah! Sorry mpenzi nilishindwa kuvumilia namna mlivochemka hasa kwenye kuchagua uwanja wa kuwachinjia Waarabu ikabidi tu niingie jukwaani muda huo niwanange kidogo😎😎😎
 
Wacha weee!!!

Hivyo hata usingizi ulikuwa wa kuunga unga leo love. Ila ndio mpira ule bana. 😎😎😎😎
Si unajua tena mamii siku nyingine unaota mmecheza na Yanga mmewafunga goli za kutosha halafu upo na Shadeeya wambembeleza na kumfuta machozi asilie sana maana ndio mpira ulivyo🤪

Matokeo yake unaamka usingizini saa tisa usiku unajiuliza ni nini hiki? Hapo sasa ndio unakumbuka kumbe wala tende na maziwa wameshaharibu huko Mwanza🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom