Video: Kombe la ASFC waliloshinda yanga limeharibika

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Aisee kweli Yanga walimiss kushinda makombe, huwezi amini kwa lile shangwe lao kombe la Shirikisho la Azam tayari limeshakatika.

Wacha niselete maneno mengi tazama hapa chini.

Your browser is not able to display this video.

Ubingwa sio item ila ubingwa ni Heshima unayopata baada ya kufikia mafanikio fulani

Trophy is just recognition
 
Litachomelewa tu, kwanza Ili tunakwenda kuchukua Moja Kwa Moja na kulitupa jalalani.
 
Waandaaji wa haya makombe wote wezi tu. Wanashindwa vipi kununua makombe yenye hadhi?

Hilo kombe kabla hata ya mechi! Wakati linaingizwa uwanjani, upande mmoja ulikuwa umeshaachia tayari!

Yule Almas Kasongo na mwenzake Wallace Karia ni bure kabisa
 
Wallace Karia ni mpiga dili tu pale TFF
 
Kweli aisee
 
Waandaaji wa haya makombe wote wezi tu. Wanashindwa vipi kununua makombe yenye hadhi?

Hilo kombe kabla hata ya mechi! Wakati linaingizwa uwanjani, upande mmoja ulikuwa umeshaachia tayari!

Yule Almas Kasongo na mwenzake Wallace Karia ni bure kabisa
Hata sura zao zimekaa kipigaji pigaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…