We jamaa akiwa mzito utambeba?
Inapendeza watanzania wawe na utu si Tu kwao wenyewe lakini pia abiria nao NI wajinga mfano unasimamisha gari Huku Una nauli pungufu? Na unaforce kuingia na kukaa kwanini usimwambie mapema Konda kama ana moyo mzuri anakupa nafasi uwezi kosa gari kama Una nauli pungufu labda huna kabisa.
Inabidi unaomba Kwanza mwenzio Yuko kazini.
Hii inatokea hata kwa watu wengine jamaa anakuja mgahawani Hana pesa ya kutosha anaagiza anapewa anamaliza anatoa pesa pungufu akidaiwa analeta ubabe sio poa yaani kama ana Haki ya kula bure.
Sema kama hauna watu wakusaidie