Video: Konda ampiga Kichwa abiria

Video: Konda ampiga Kichwa abiria

Naeupuka ugomvi kwa gharama yoyote ile, haijalishi nitaonekana mjinga, yan hata iweje, kupigana mimi ni Nooo never.
@naungana nawe binti kiziwi , mtu anayepigana kwakwel unaweza kuta akili haiko sawa.
Na hiv sasa maisha yalivyo tight watu wana changamoto kubwa sana ya afya ya akili kwa kiwango kikubwa.

Nakumbuka last week niko mtaani tunatembea na Yf , ikatokea boda boda kama mnavyowajua akil hawana japo yule alikua ni mtu mzima, akaja kwa nyuma akashi break miguuni kwa wife akamgusa, mimi sikushtuka kwalua boda ilitokea nyuma, yf akanishtua kuwa "huyu ametaka kunigonga, angalia mguu wangu akanigusa"

Kuchek kwel nakuta alama za tyre, nilipandwa na jazba ghafla ,japo nikaji controll kwakua yyf hakuudhurika, nikageuka kurud na kuuliza braza vipi?

E bwana eehh, yule mtu sijui alikua kavuta bangu, alikuja kunivaa ghafla, uzur nikamkwepa, watu washasogea, anakuja tena kwa kasi, watu wakamzuia, nikaulize, "mzee kuna lingine zaidi au ni suala hili hili tu"? Akawa ana foka na matusi tu,

nikaona hapa kuna shetan kasimamia show vilivyo huu upepo sio wa kawaida, nikarud pembeni nikajichukulia mke wangu nikasema turud tu home, huko tuendako si kwema.

As a man i was sooo embarrased ila ndio vile sasa, mimi huwa sipigani hata iweje
 
Hivi ni mazingira gani mtu hushikwa kalio? Kwa nini umekimbilia kwenye kalio? Vipi anayemtukana mzazi wangu?
Self defence ni kum-nutralize the opponent asiwe tishio zaidi.

Hakuna kupigana by all means
Mimi niliwahi kufuwa miezi 6 kwa kukatakata Vijana wawili wapumbavu waliotumwa na baba yao kung'oa katani za mpaka wa shamba
 
Hapo tatizo 100 au 200
Inawatoa watu roho
Wale wanaotumia ma v8 na mavxr wakuona clip hii wanawacheka tu

Ova
 
Back
Top Bottom