DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Upo sahihi mimi binafsi sipendi ugonvi ila kuna sehemu mtu akikupiga lazima ushikwe na hasira kaliSawa mkuu pole na Hongera. Ila kama unajijua unahasira za hivyo, na una ngumi nzito jizuie ikibidi kufanya ugomvi.
Watu ni wagonjwa sana siku hizi.
Bora wewe...Me I don't wish, I pray for it kabisaI wish one day a muthafucka would….
Mimi huwa sipendi ugomvi kabisaa.Sijui kwanini ila watu wanaopigana huwa nawaona wamepungukiwa na akili. 👎
You pray for what?Bora wewe...Me I don't wish, I pray for it kabisa
Ni nani huyo mwenye mikono miepesi namna hiyo, kuweza kuchomoa simu mfukoni shaa na kurekodi tukio zima zima kwa kasi ya mwanga?Inaonekana siku hizi makonda hawana mzaha kabisa na wamejizatiti kwenye Mafunzo ya martial arts na Judo 🥋
View attachment 2932622
Kwa hiyo Hamas na Israel ni wajinga?Mimi huwa sipendi ugomvi kabisaa.
Nikiona zogo najikata kisilesi na kama kuna mgaigai anataka kunizingua na kanijia kwa vurugu huwa sijibu ngumi zake bali nambeba na kumrusha juu.....
Ugomvi ni jambo la kijamii. Kupigana ni ujinga
Unamrusha juu 😂😂😂😂Mimi huwa sipendi ugomvi kabisaa.
Nikiona zogo najikata kisilesi na kama kuna mgaigai anataka kunizingua na kanijia kwa vurugu huwa sijibu ngumi zake bali nambeba na kumrusha juu.....
Ugomvi ni jambo la kijamii. Kupigana ni ujinga
We jamaa akiwa mzito utambeba?Mimi huwa sipendi ugomvi kabisaa.
Nikiona zogo najikata kisilesi na kama kuna mgaigai anataka kunizingua na kanijia kwa vurugu huwa sijibu ngumi zake bali nambeba na kumrusha juu.....
Ugomvi ni jambo la kijamii. Kupigana ni ujinga
Kwahiyo hata akitokea mtu akakushika kalio hupigani? Utasema "niache bwana, jamani wewe mbona unakuwa mkorofi"Mimi huwa sipendi ugomvi kabisaa.
Nikiona zogo najikata kisilesi na kama kuna mgaigai anataka kunizingua na kanijia kwa vurugu huwa sijibu ngumi zake bali nambeba na kumrusha juu.....
Ugomvi ni jambo la kijamii. Kupigana ni ujinga
Israel na Hamas ni kweli wajinga. Lakini kila mmoja wao anapambana in self defence ingawa najiuliza was is neccessary yaliyojiri Oktoba 7, 2023?Kwa hiyo Hamas na Israel ni wajinga?
Tanzania na Uganda ya Idi Amin walikuwa wajinga?
Au kupigana kwa kutumia ngumi pekee ndo ujinga lakini kwa kutumia silaha ndo si ujinga?
Nipate konda kama uyo,You pray for what?
Hivi ni mazingira gani mtu hushikwa kalio? Kwa nini umekimbilia kwenye kalio? Vipi anayemtukana mzazi wangu?Kwahiyo hata akitokea mtu akakushika kalio hupigani?
Mimi Kuna mmoja kidogo tupigane kisa shng 200Jitahidi sana kuepuka majibizano na konda. Wana stress za maisha
Una mnyuturaizi kivipiHivi ni mazingira gani mtu hushikwa kalio? Kwa nini umekimbilia kwenye kalio? Vipi anayemtukana mzazi wangu?
Self defence ni kum-nutralize the opponent asiwe tishio zaidi.
Hakuna kupigana by all means
Kudharau kazi na ofisi ya mtu ni dalili ya kukosa malezi.We jamaa akiwa mzito utambeba?
Inapendeza watanzania wawe na utu si Tu kwao wenyewe lakini pia abiria nao NI wajinga mfano unasimamisha gari Huku Una nauli pungufu? Na unaforce kuingia na kukaa kwanini usimwambie mapema Konda kama ana moyo mzuri anakupa nafasi uwezi kosa gari kama Una nauli pungufu labda huna kabisa.
Inabidi unaomba Kwanza mwenzio Yuko kazini.
Hii inatokea hata kwa watu wengine jamaa anakuja mgahawani Hana pesa ya kutosha anaagiza anapewa anamaliza anatoa pesa pungufu akidaiwa analeta ubabe sio poa yaani kama ana Haki ya kula bure.
Sema kama hauna watu wakusaidie