Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

Sijawahi kuwaza kama jf kuna mbumbumbu kiasi hiki...sorry to say that.

Mimi naongea kauli ya Lissu wewe unaleta mambo ya Magu kuwa muongo..inahusiana vipi?
Hapa inaongelewa habari ya hangaya wewe unaleta habari Lissu, wewe si juha?
 
Lissu ameishiwa. Eti rais alikuwa akitaka akutane na kupiga picha na Biden. Ili iweje? Mbona Magufuli hakutoka nje kwenda Ulaya lakini dunia ilimfuata Tanzania? Huu licha ya kuwa urongo ni tabia za kikoloni tena utumwa wa kiakili wa watu kama Lissu
 
Lissu kiboko ya CCM, amekosesha Chief Hangaya fursa ya kukutana na "beberu" wa dunia.
Hahahaha muda ndo unaongea. Wao waendele kukosesha fursa ila hko kinacho tawala ndo kinasidi kuweka mikakati ya kujisambaza na kujiongezea ngome.

Ndio unaweza sema ccm ni wezi na wanatumia polisi pia. Ila mimi na jiuliza kama ukishajuwa adui yako kaweka mikakati ya kuiba na kutumia polisi, kwanini na wewe usitafute mbinu ya kuiba zaidi na kutumia polisi zaidi.

Ishu ni kucheza na fursa tu sasa CDM fursa hawazitaki wao wanapiga kelele mitandaoni na kulalamika kwa mabeberu.
 
Hivi na wewe unajihesabia ni mtu, unalazimisha kabisa uitwe mtu mweusi.
Sisi wafrika hatujawahi kuwa watu, sisi ni manyani na ni zaidi ya manyani tuna roho za kinyama, tuna roho mbaya sana.

Wazungu rafiki zake Mungu. Huo ndio ukweli mchungu.

Ujinga ni kipaji
 
Ujinga ni kipaji
Nyani lingine linakimbia kioo😃😀
Jiangalie kwenye kioo halafu fanya tathmin.. na ujiulize roho mbaya na zakinyama MaCCM mmezitoa wapi.. Kwa wazungu au mapolini mlikolelewa.?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…