The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Raha sana kumsiliza Lissu akiongea.TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."
TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."
Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Hivi ukimkuta mtu na akili zeke timamu anatoa hoja ya kipumbavu kama hii yako, tumueleweje huyo mtu? Au labda unataka kudai kuwa Mh. Lissu hakuwa na dereva, alikuwa anajiendesha mwenyewe! Mbona hapo angalau dai lako lingekuwa na maana?Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Kwa kusema kweli dai la JOHNKEKE, limenishangaza sana. Kuna kitu hakiko sawa na hizo products za mikesha ya mwenge na ndio maana hadi leo wanamlilia dhalimu mwendakuzimu. Uovu wake ulivyomtesa, siku corona ilipompigia hodi ikawa twende!..hizi ni propaganda za kitoto sana.
..gari lake linaonyesha risasi zilipigwa toka upande gani.
..pia ameumia miguu yote na maeneo mbalimbali.
..suala la mguu upi umeumia zaidi halitokani na upande zilipotokea risasi.
KichwaTUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."
TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."
Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Wewe ukiitwa na polisi tu mishuzi inatoka,unapanic huyu alimiminiwa risasi 37!19 zikaingia mwilini!?surely akizungumzia hili tukio sio kutafuta huruma ya wananchi,it was bad,babaric,inhuman,Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Aligeuka akalala kifudifudi ,(akalalia tumbo) hivyo mguu wake wa kulia ukawa upande wa wasiojulikana wanaojulikana.Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Ingekuwa ni wewe saa hizi ungekuwa kwenye hospitali za vichaa.Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Unajua mkuu 'Joka Kuu', ukifikiria kazi na bidii kubwa iliyokwishafanywa ili kuiua CHADEMA hadi leo hii tukishuhudia ugaidi wa Mbowe na bado CHADEMA inadunda!..hebu tujikumbushe interview hii ya Tundu Lissu.
Akiulizwa atajibu,..Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Hizo hoja zako zishajibiwa sana tafuta usome uelewe kila siku usilete vihoja kama hivyo.Hivi ukimkuta mtu na akili zeke timamu anatoa hoja ya kipumbavu kama hii yako, tumueleweje huyo mtu? Au labda unataka kudai kuwa Mh. Lissu hakuwa na dereva, alikuwa anajiendesha mwenyewe! Mbona hapo angalau dai lako lingekuwa na maana?
Kama risasi zilipigwa kulia mwa gari alikokaa Lissu halafu dereva aliye kushoto hakupatwa na risasi, mbona hii lingeeleweka hata kwa chizi asiye na akili? Vipi JOHNKEKE, u mzima kweli au ndiyo yale yale ya kukabidhi akili zenu pale mlangoni Lumumba?
Kwa kusema kweli dai la JOHNKEKE, limenishangaza sana. Kuna kitu hakiko sama na hizo products za mikesha ya mwenge na ndio maana hadi leo wanamlilia dhalimu mwendakuzimu. Uovu wake ulivyomtesa, siku corona ilipompigia hodi ikawa twende!
Halafu huwa nashangaa anasema waliompiga anawajua, si afungue mashtaka na aweke ushahidi? Huyu jamaa dishi lqke huwa nalitilia sana mashaka. Anaropoka mno na hakuna hata moja analoweka evidences.. Ni kama mhubiri tu anayeoteshwa ndoto akaja kuzitolea ushuhuda. Huyu angepata uraisi nchi ingeenda pabaya zaidiLisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi