Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Uyu mmakonde kapachamwa,,'eti kuna moto nakuna moto wakizungu'hazimo kabisa huyu
 
Aisee jamaa ni limbukeni hakuna mfano.
 


Tusubiri pacha wake (dogo Harmorappa) aje na demu wa kichina au toka sayari ya Mars kuja kushindana na mmakonde mwenzake, maana hawa vijana feki (bongo fleva) wana ujinga uliotukuka sana.
 
Kawatia aibu wamakonde wenzie wote, kuanzia Nkapa, Nape hadi Harmorapa
 
mzungu hoyeeeeeeeeee
Wapi wolper jaman tuandae matarumbeta tukamsute wolper hahahaha
 
Mi bado naamini, Harmonize na Harmorapa ni ndugu haya majibu ndo uthibitisho wangu
 
Sijaona ubaya kwenye hiyo clip...ila kilichopo ni wivu wenu wa kijinga tu kwa Harmonize
 
Msanii wangu namba 2 Tanzania nzima baada ya MOND,napenda vile unavyojua kuufukuza umaskini kwa hali yoyote,hiyo inaitwa wamependa hawajapenda we ndio ushasema na haibadiliki.
Jamaa ulipotea sana
 
Mbona kama anajitetea mapema? Huenda kagundua amechapiwa mtoto sio wake. Sisi tunasubiri tu tuone peeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…