Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu,kwani kuna demu ambaye hajapitiwa .......labda kama utavibaka vitoto vya miaka 9.Mzungu mwenyewe alikuwa mke wa mmasai mmoja mlinzi huko Zanzibar.
Aisee jamaa ni limbukeni hakuna mfano.Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Jamaa ulipotea sanaMsanii wangu namba 2 Tanzania nzima baada ya MOND,napenda vile unavyojua kuufukuza umaskini kwa hali yoyote,hiyo inaitwa wamependa hawajapenda we ndio ushasema na haibadiliki.
[emoji23][emoji23][emoji23]umetisha mkuu uyu ni uncle Ruckus kabisa wa Boondocks,. Apo anatamani ata yeye angekua na melanin yaoUncle Ruckus katika ubora wake -The Boondocks
Hata rangi itachanganyikaa,Hahahaha.
Hapo mtoto mweupe pie maana rangi nyeupe ya kizungu sio ya mchezo mchezo.
Ila kwenye nywele hapo lazima iwe collable
Dah wewe acha tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]umetisha mkuu uyu ni uncle Ruckus kabisa wa Boondocks,. Apo anatamani ata yeye angekua na melanin yao
Kumbe na ww unasoma udaku wa Insta mcha__mbuziMzungu mwenyewe alikuwa mke wa mmasai mmoja mlinzi huko Zanzibar.