Demu wako ulimkuta bikraAlie kutoa mwiba wa mata.ko ukakaa kuweza kutoa wa mguuni muheshimu, dogo anajiona kafika sana haikua na maana kwa mwanaume rijali kuweka post za vijembe kwa demu alie achana nae kapamia demu kisa zungu lisha chakazwa sana ma maniga mpaka wamasai ye anaina mpya ndani ya wcb ukiacha boss wao vanny pia ana akili na muono wa mbali sio huyu makonde maskini jeuri, kapuyanga ki nazi
Povu
Ngoja nikiweke kweny ignored listWewe unataka kuwa punga la Harmonize ndiyo maana unamparatia.
Mwenzako anataka wazungu tu.
UmelimbukaSasa mkuu,kwani kuna demu ambaye hajapitiwa .......labda kama utavibaka vitoto vya miaka 9.
asee mmakonde ni mmakonde tu.....Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.
Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za ujauzito wa mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa Marekani.
Akiongea na 255 ya XXL ya Clouds FM Jumatano hii, Harmo amedai kuna asilimia kubwa mpenzi wake huyo kujifungua mtoto wa kizungu na sio mwenye rangi kama yake. Msikilize Hapo chini
Nakwambia mm sasa mtoto atatoka shombe shombe, km unabisha nipe ruhusa nikachepukee na mzungu au muarabu uonee[emoji4] yani tunafanya majaribio KBS kwa vitendoHapo kwenye rangi sidhani.
Maskini akipata matako hulia mbwata mbwata!!! LolSaa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Yan nikubetie wewe kwa mzungu.Nakwambia mm sasa mtoto atatoka shombe shombe, km unabisha nipe ruhusa nikachepukee na mzungu au muarabu uonee[emoji4] yani tunafanya majaribio KBS kwa vitendo
[emoji22] [emoji22] sasa bby sinistory tu mbn unakuwa mkliYan nikubetie wewe kwa mzungu.
Hapo ni HAPANA heri tusubiri tu majibu.
Majaribio hamna kabisa.
Tena nisisikie tena.
A boy should never ignore the advise of grown men.Ngoja nikiweke kweny ignored list
Hahahahah.[emoji22] [emoji22] sasa bby sinistory tu mbn unakuwa mkli
Sawa bby but punguza wivuHahahahah.
Tatizo umenichanga sana we mwanamke
Mi mwenyewe nashangaa nahisi nimerogwa aiseeh.Sawa bby but punguza wivu