Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Alie kutoa mwiba wa mata.ko ukakaa kuweza kutoa wa mguuni muheshimu, dogo anajiona kafika sana haikua na maana kwa mwanaume rijali kuweka post za vijembe kwa demu alie achana nae kapamia demu kisa zungu lisha chakazwa sana ma maniga mpaka wamasai ye anaina mpya ndani ya wcb ukiacha boss wao vanny pia ana akili na muono wa mbali sio huyu makonde maskini jeuri, kapuyanga ki nazi
Demu wako ulimkuta bikra
 
masikini akipata utajua tabia yake
 
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.
Harmonize.jpg

Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za ujauzito wa mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa Marekani.

Akiongea na 255 ya XXL ya Clouds FM Jumatano hii, Harmo amedai kuna asilimia kubwa mpenzi wake huyo kujifungua mtoto wa kizungu na sio mwenye rangi kama yake. Msikilize Hapo chini

asee mmakonde ni mmakonde tu.....
 
Haya ndo madhara ya kuongea vitu ukiwa too much exited,,, the only thing alitakiwa ni kusema Asante kwa kuwa anatarajia kuwa baba,,, mambo ya ku’classify sijui mtoto na mtoto wa kizungu ni ULIMBUKENI tu... aache tabia za kishamba zinamshushia credits!
 
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Maskini akipata matako hulia mbwata mbwata!!! Lol
 
Nakwambia mm sasa mtoto atatoka shombe shombe, km unabisha nipe ruhusa nikachepukee na mzungu au muarabu uonee[emoji4] yani tunafanya majaribio KBS kwa vitendo
Yan nikubetie wewe kwa mzungu.

Hapo ni HAPANA heri tusubiri tu majibu.

Majaribio hamna kabisa.

Tena nisisikie tena.
 
Back
Top Bottom