Hatari sana.Muhisika anatembea na Samia bila wasiwasi kesha gawa fedha kuliko Rugemalila wa ESCROW
Wazee wakuona fursaWana Mtandao ni hatari sana!
Mkuu hili ungekuwa muhindi Govinda ningekuelewa lakini sisi wabantu kwakweli haya majina sio yetu... na kwa kuhakikisha hilo naomba kuuliza Śuṁ tamē bhāratīya vanśanā chō?Polisi wanaibiwa halafu wananyamaa kimya **** sio polisi vile. Yaani hata skauti wasingekubali ila polisi wa Tanzania kichekesho.
Boss wa Polisi kashatiwa mfukoni hapo unategemea maajabu gani?Polisi wanaibiwa halafu wananyamaa kimya kama sio polisi vile. Yaani hata skauti wasingekubali ila polisi wa Tanzania kichekesho.
Wanamtandao wakiongozwa na mstaafu noma...
na sasa hawanahoja wanahasira na kila atakayewahoji,nasikia hadi wameagiza kontena la silahaWana Mtandao ni hatari sana!
Jpm alishndwa nin kumchukulia hatua za kisheria ?
Hili la uniform za polisi lilitua Bungeni, Waziri akaenda kukagua container, zilifika, na vile vifaa vya Lugumi navyo vikafika kukawa hakuna tena issues!. Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu
Wana Mtandao ni hatari sana!