Sasa aijipi tu ana bii aongee nini? Hata ungekua ni wewePolisi wanaibiwa halafu wananyamaa kimya kama sio polisi vile. Yaani hata skauti wasingekubali ila polisi wa Tanzania kichekesho.
Heeee!Kuna wakati saa mbovu inasema ukweli
Weeeee!!! Sema Thuuuuuu!!Muhisika anatembea na Samia bila wasiwasi kesha gawa fedha kuliko Rugemalila wa ESCROW