Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !

View attachment 1791252
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
kwa hio muislam mmoja akikutukana kwa akili zake ndio uanze kuukejeli uislam wote?mjifunze ku challenge vizuri.

Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo.
 
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo
Ni halali mtu kudanganya kwamba ni mlokole wakati hana ulokole hata wa kuchovya ?
 
Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !

View attachment 1791252
Punguza ushabiki maandazi, wewe sasa ni mwandamizi katika hili jamvi lá JF. Linda kwa wivu mkubwa uandamizi wako kwa kujikita katika michango ambayo ama itaipaisha Chadema au kurekebisha makosa ya serikali.

Michango kama hii waachie waliotoka chuo jana.
 
Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !
Mkuu hebu tuambie hawa ni wa wapi wanatunishiana misuli waziwazi hivi.
 
Back
Top Bottom