Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Bila shaka wewe ni mlokole, siyo kwa povu lako ulilotoa aisee!
Ila ukweli walokole tabia zao za kinafiki zinajulikana na zinafanana!
Refer akina bashite, gboy n.k
Nyie bado sana,na mtatandikwa kila siku ina maana muislam mmoja akijilipua bomu kwa hulka yake ndio uanze kutukana uislam mzima?na hapo ni wapinzani tu mkipewa nchi si mtapeleka mavi kwenye nyumba za ibada za watanzania wengine sasa.
 
Chadema imeingiaje hapo? Hulka ya mtu usiihusishe Na Chana cha watu Hakuna mahali kasema yeye ni chadema!
Inaelekea siku mkishika dola imani/dini za watanzania wengine zitapata shida sana.
Mungu aepushe hili balaa
 
Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !

View attachment 1791252
Huyu mama ana matatizo siku nyingi.
Kila anakoenda huwa ni mtifuano na viongozi wenziwe.
Majuzi katimua wafanyakazi waandamizi Kinondoni ili aweke wa kwake na ana tuhuma nyingi sana.

Kinacho mpa kichwa na kiburi ni ile yeye kuwa afisa toka UWT.
 

Tanzania: Arusha RC Threatens to Resign​


30 DECEMBER 2013



By Marc Nkwame
Arusha — ARUSHA Regional Commissioner Magessa Mulongo has threatened to resign from his office if the Arusha City Director, Ms Sipora Liana, will not approach him and apologise.

According to Mr Mulongo, who recently spoke to journalists, the City Director has been tarnishing his image by alleging that he was a corrupt person who takes bribes and forces decisions contrary to leadership principles.


Huyu Mama Analake
 

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bi Sipora Liana alimsumbua sana Meya Isaya Mwita, lakini madiwani wa CCM wakashangilia kwa sababu Mwita alikua Meya anayetokana na Chadema. Leo wananyukana wenyewe kwa wenyewe. Meya wao, Mkurugenzi wao, lakini vimeumana.

Nimeamini maneno ya Godbless Lema kuwa wapinzani wakitoweka bungeni basi CCM hao hao wataanza kuoneana wenyewe kwa wenyewe.
 
Hata hivyo huyo Songoro katuabisha wanaume. Yeye anaongea maneno meeengi halafu mwanamama anaongea neno moja tu au mawili halafu anakaa kimya.
Kisha jamaa anaendelea kuongea tena maneno meeeeeengi.

Ku-deal na wanawake wa aina hii yapasa kuwa na akili.
Mwenyekiti kazi yake nini?
 
Bora CCM wananyukana kwa ajili ya kutetea maendeleo ya wananchi lakini Lisu ananyukana kwa ajili ya kutetea Acacia.
Wamezulumiana tu
sass2.png
 
Back
Top Bottom