Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo

Bila shaka wewe ni mlokole, siyo kwa povu lako ulilotoa aisee!
Ila ukweli walokole tabia zao za kinafiki zinajulikana na zinafanana!
Refer akina bashite, gboy n.k
 
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo
Wewe fala sana
Unalalamika jamaa kuingiza mambo ya ulokole na wewe kuingiza mammbo ya chadema kupewa nchi yameingiaje hapa
 
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo
Duuuh! Yaani nawewe ni kiazi kweli kweli, kosa la mmoja unahukumu wote, mbona huko ccm vilaza wapo na still wanaongoza nchi? Mlokole pole sana na hii ndio tatizo la kushika mawili, nakuhakikishia kwa siasa za afrika huwezi shika dini na siasa kwapamoja, siasa zetu kuna muda zitakutoa kwenye dini tu
 
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo

Chadema imeingiaje hapo? Hulka ya mtu usiihusishe Na Chama cha watu Hakuna mahali kasema yeye ni chadema!
 
Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !

View attachment 1791252
... kiongozi hilo picha umeweka kipande sana! Natamani kujua hiyo "USINIONEE" ni kwa muktadha upi hasa bi mkubwa analalamika kuonewa? Au ni issues za jinsia? Na hiyo shida ya "brain" sijui ni ipi?
 
Back
Top Bottom