Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kujifanya Mlokole huku ukidhulumu watu kunaichafua dini nzima. Kama na wewe unafanya acha la sivyo jitoe katika Ulokole maana unaunajisi.Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
kwa hio muislam mmoja akikutukana kwa akili zake ndio uanze kuukejeli uislam wote?mjifunze ku challenge vizuri
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo