Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
🤣fita ni fita mura
Karibu sanaBwashee una harakati nyingi sana!
mboweBwashee una harakati nyingi sana!
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !
View attachment 1791252
Ni halali mtu kudanganya kwamba ni mlokole wakati hana ulokole hata wa kuchovya ?Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo
Kwi Kwi Kwihivi ukisema umpe mji wake huyu mama ni nani??? nahisi anaweza kua
mbowe
Mama MboweKwi Kwi Kwi
Mh. Songoro Mnyonge, diwani mzoefu, wa muda mrefu na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mno wilaya ya KINONDONI.....Uyo meya ni nani anaitwa
Punguza ushabiki maandazi, wewe sasa ni mwandamizi katika hili jamvi lá JF. Linda kwa wivu mkubwa uandamizi wako kwa kujikita katika michango ambayo ama itaipaisha Chadema au kurekebisha makosa ya serikali.Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !
View attachment 1791252
Hutaki tufichue uchafu?Punguza ushabiki maandazi, wewe sasa ni mwandamizi katika hili jamvi lá JF. Linda kwa wivu mkubwa uandamizi wako kwa kujikita katika michango ambayo ama itaipaisha Chadema au kurekebisha makosa ya serikali.
Michango kama hii waachie waliotoka chuo jana.
Mkuu hebu tuambie hawa ni wa wapi wanatunishiana misuli waziwazi hivi.Hii ni aibu sana , hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha , hawa ndio walokole wa Tanzania ! Noma sana , kumbe wanapigiana simu gizani !