Hivi vyeo vinasumbua - Mkurugenzi na Meya nani anamzidi mwenzake ki-itifaki - Mmoja ni presidential appointee na mwingine ni kiongozi wa kuchaguzliwa wakilishi wa wananchi...
Nachoona hapo hapo Madiwani pamoja na meya wao wanataka kumzunguka Mkurugenzi atoe hela wazipige, ticha wa shule naye anasubiri huko huko mgawo wake - Mama naye yupo gado kagoma kusign.. patamu hapo !!
Hapa ndipo tatizo lipo, hawa hawa walisema wapinzani ndiyo wacheleweshaji wa maendeleo katika kila ngazi, sasa wamebaki wenyewe mambo ndiyo kama hivi..
Kweli Mama una kazi nzito - kuna muda utawakumbuka hata kina Lema / Msigwa / Mbowe /Lissu etc walikuwa wanakusaidieni kukemea mambo mengine ya hovyo hovyo.