Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Wewe ndugu usirudie tena kukashifu imana za watu wengine. Sawa??
Kwanza Kama u mstaarabu hembu omba radhi. How come unaunganisha imanai ya mtu na uovu wake halafu iwe nini??,, Je ili ionekane wa Imani hiyo ni miyeyusho au????
Don't do that again.
Mlokole mwingine anaitwa Gwajima , naye unataka nikuwekee video zake ?
 
Mlokole mwingine anaitwa Gwajima , naye unataka nikuwekee video zake ?
Taja tu kwa jina/Gwajima usiidhalilishe Imani yake. Sio jambo jema!
Kwa hiyo Kama wewe ni sijui mkatoliki au mmorovian au mpagani??
Ukakutwa na demu kwenye uzinzi. Ikisemwa like katoliki au like limorevian lizinzi kweli kweli utaona sawa???
Si isemwe tu li Erythrocytes Ni linzinzii bila kutumia jina jumuishi???
Jiepusheni kuzia ndimi zenu na vidole vyenu kudhalilisha Imani za watu mdeal na watu personally si kujumiluisha kupitia Imani zao!!
 
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
kwa hio muislam mmoja akikutukana kwa akili zake ndio uanze kuukejeli uislam wote?mjifunze ku challenge vizuri.

Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo.
Chadema imeingiaje hapo??si ujibizane na mleta hoja kuna shida??eti Chadema bado sana kupewa nchi,kupewa na nani Kamuulize mwenda zake kwa nini aliwaambie wabunge wasijisifu kuingia bungeni ila wameletwa.Katika uchaguzi huru ccm haina ubavu wa si tu kuishinda Chadema bali hata chama cha Hashim Rungwe hawaambui kitu.wenye akili za kubumba wako ccm walikuwa na nyadhifa kubwa lakini leo ni wabunge wa kuteuliwa wakiwa na mikashfa kibao.
 
Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!

SAFI SANA MEYA. HUYU MAMA SI ALITUMIA NGUVU KUWATANGAZA MADIWANI WOTE WA CCM KUWA NI WASHINDI UCHAGUZI ULIOPITA. MSHIKISHENI ADABU MKURUGENZI. ANAJIFANYA MZOEFU KUMBE NI UZOEFU WA KUIBA KURA TU ZA WAGOMBEA WA CCM.
 
Wewe unawajua CCM wote?!
Mheshimiwa Songoro Mnyonge hanaga konakona

Kutofautiana kwenye vikao ni alama mojawapo ya kwamba viongozi wanafanya kazi huru, ila kugoma kusikilizana na kuendelea kujibishana kwenye vikao inaweza ondoa imani na heshma kwa viongozi

Busara busara busara
 
Mkurugenzi ilitakiwa aajiriwe na Jiji, manispaa na halmashauri sio kuteuliwa na Rais
Hivi vyeo vinasumbua - Mkurugenzi na Meya nani anamzidi mwenzake ki-itifaki - Mmoja ni presidential appointee na mwingine ni kiongozi wa kuchaguzliwa wakilishi wa wananchi...

Nachoona hapo hapo Madiwani pamoja na meya wao wanataka kumzunguka Mkurugenzi atoe hela wazipige, ticha wa shule naye anasubiri huko huko mgawo wake - Mama naye yupo gado kagoma kusign.. patamu hapo !!

Hapa ndipo tatizo lipo, hawa hawa walisema wapinzani ndiyo wacheleweshaji wa maendeleo katika kila ngazi, sasa wamebaki wenyewe mambo ndiyo kama hivi..

Kweli Mama una kazi nzito - kuna muda utawakumbuka hata kina Lema / Msigwa / Mbowe /Lissu etc walikuwa wanakusaidieni kukemea mambo mengine ya hovyo hovyo.
 
Mkurugenzi ilitakiwa aajiriwe na Jiji, manispaa na halmashauri sio kuteuliwa na Rais
pesa hizozinaenda serikali kuu na zinazobaki km makusanyo katika masoko, parking, taka ndizo huelekea Halmashauri na Majiji hao Madiwani wanazipiga sana na tozo na pesa hizo hata hugawana magari na mali, kuna kipindi Fredrick Sumaye alivunja Mabaraza yote ya Jiji kwani ilikuwa vita ni vita na kufichuana kusikokoma maana wengi walikuwa NCCR kuliko CCM
Sasa leo huo mgogoro atatumwa mara moja Waziri Ummy Mwalinu na matokeo hao Madiwani wa CCM utasikia huo ulaji wa takataka utawatokea puani
 
Lazima apaniki kwa usnichi alomfanyia huyo mama! Yaani wamekaa kikao nje ya kikao na waliazimia kumkataa na kumfurusha ofisini na waliopeleka hoja zao tamisemi na kwa waziri mkuu zikarudishwa kwa mama ghafla na ndio maana akawaambia na meta katabasamu kinafiki na kujihami kupita kiasi!
Baraza limejaa wapiga dili wenye vijikampuni vya kuzoa taka mitaani ambapo hucharge sh.

Kati ya 1000/= na 3000/= lakini risiti inayotolewa no ya Kati ya sh. 100/= na 300/= ambazo hupelekwa halmashauri. Wao wenyeviti hubaki na kiasi Cha sh 900, 1800 na 2700/= Jambo ambalo mkurugenzi ameona ni wizi wa wazi hivyo aliwakamata baadhi ya watendaji na wenyeviti wa mitaa na kuwafungulia mashitaka ya wizi na ubadhirifu kabla ya idd.

Kwa kuwa madiwani wote ni wapigaji akiwemo na yeye wakakaa kikao nje ya kikao kumkataa mkurugenzi!

Kuhusu suala la mkurugenzi kumpa za uso mwalimu mkuu ni kuwa alipeleka proposal ya kuomba vifaa vya ujenzi two days before the meeting na akitaka kumforce mkurugenzi aifanyia maamuzi ya haraka bila kumshirikisha mchumi na engineer watathimini gharama hizo!

Songoro alijificha kwa mwl mkuu huyo ili aweze kisukuma agenda yake na amefeli big time!
Songoro analeta siasa kwenye kazi za kitaalamu na ni lazima ashindwe!
Somo limeelewaka.. Mkaguzi mkuu alisikika juu ya ukali wa serikali lkn watu bado wanaendekeza ubazilifu..
 
Nilishangaa waliodai Songoro msafi
 
Back
Top Bottom