Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Wewe ndugu usirudie tena kukashifu imana za watu wengine. Sawa??
Kwanza Kama u mstaarabu hembu omba radhi. How come unaunganisha imanai ya mtu na uovu wake halafu iwe nini??,, Je ili ionekane wa Imani hiyo ni miyeyusho au????
Don't do that again.
Mlokole mwingine anaitwa Gwajima , naye unataka nikuwekee video zake ?
 
Mlokole mwingine anaitwa Gwajima , naye unataka nikuwekee video zake ?
Taja tu kwa jina/Gwajima usiidhalilishe Imani yake. Sio jambo jema!
Kwa hiyo Kama wewe ni sijui mkatoliki au mmorovian au mpagani??
Ukakutwa na demu kwenye uzinzi. Ikisemwa like katoliki au like limorevian lizinzi kweli kweli utaona sawa???
Si isemwe tu li Erythrocytes Ni linzinzii bila kutumia jina jumuishi???
Jiepusheni kuzia ndimi zenu na vidole vyenu kudhalilisha Imani za watu mdeal na watu personally si kujumiluisha kupitia Imani zao!!
 
Chadema imeingiaje hapo??si ujibizane na mleta hoja kuna shida??eti Chadema bado sana kupewa nchi,kupewa na nani Kamuulize mwenda zake kwa nini aliwaambie wabunge wasijisifu kuingia bungeni ila wameletwa.Katika uchaguzi huru ccm haina ubavu wa si tu kuishinda Chadema bali hata chama cha Hashim Rungwe hawaambui kitu.wenye akili za kubumba wako ccm walikuwa na nyadhifa kubwa lakini leo ni wabunge wa kuteuliwa wakiwa na mikashfa kibao.
 
Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!

SAFI SANA MEYA. HUYU MAMA SI ALITUMIA NGUVU KUWATANGAZA MADIWANI WOTE WA CCM KUWA NI WASHINDI UCHAGUZI ULIOPITA. MSHIKISHENI ADABU MKURUGENZI. ANAJIFANYA MZOEFU KUMBE NI UZOEFU WA KUIBA KURA TU ZA WAGOMBEA WA CCM.
 
Wewe unawajua CCM wote?!
 
Mkurugenzi ilitakiwa aajiriwe na Jiji, manispaa na halmashauri sio kuteuliwa na Rais
 
Mkurugenzi ilitakiwa aajiriwe na Jiji, manispaa na halmashauri sio kuteuliwa na Rais
pesa hizozinaenda serikali kuu na zinazobaki km makusanyo katika masoko, parking, taka ndizo huelekea Halmashauri na Majiji hao Madiwani wanazipiga sana na tozo na pesa hizo hata hugawana magari na mali, kuna kipindi Fredrick Sumaye alivunja Mabaraza yote ya Jiji kwani ilikuwa vita ni vita na kufichuana kusikokoma maana wengi walikuwa NCCR kuliko CCM
Sasa leo huo mgogoro atatumwa mara moja Waziri Ummy Mwalinu na matokeo hao Madiwani wa CCM utasikia huo ulaji wa takataka utawatokea puani
 
Somo limeelewaka.. Mkaguzi mkuu alisikika juu ya ukali wa serikali lkn watu bado wanaendekeza ubazilifu..
 
Nilishangaa waliodai Songoro msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…