Msisahau kuwa Mlokole naye ni mtu kweli.Ni halali mtu kudanganya kwamba ni mlokole wakati hana ulokole hata wa kuchovya ?
Its theother way round.Usitake kudanganya umma full clip imeshatembea aliyedhalilika ni meya
Kabisa tusishindwe kukaa maeneo yetu ya kutoa stress bureeeUkimfahamu ni burden teh teh
Ova
Ded mwajiriwa .mayor mwanasiasaFita ni fita mura
Kwan hayo maadhimio yao ya jana ni yapiHii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
CHADEMA wameingiaje hapo?Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
kwa hio muislam mmoja akikutukana kwa akili zake ndio uanze kuukejeli uislam wote?mjifunze ku challenge vizuri.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo.
Huyo Songoro na madiwani wake wa Kinondoni ni mafisadi wakubwa, sasa huyo mama Liana ndio ameletwa hapo kunyoosha mambo na ndio maana wanamletea figisu!Mh. Songoro Mnyonge, diwani mzoefu, wa muda mrefu na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mno wilaya ya KINONDONI.....
Ilibidi nitafute video yenye tukio zima lilipoanzia. Huyo mama alivurugwa, alikosa ethics kabisa na hakumuheshimu mwenyekiti wa kikao hata kama alikuwa anaprotest haki yake ya kusikilizwa.Mwenyekiti kazi yake nini?
HahahhahaaaaaIlikuwa yule mama ale kibao tu
Na Mwendazake vipi hapo?Hii ndio siasa, Kama huijui kaa kimya ujifunze kwanza
Kuna upigaji/ wizi/ ufisadi, rushwa, fitna n.k. 'It's all about the money'
Hakuna mwanasiasa msafi, naamini hivyo, hakuna!
Ukikuta kikao kama hicho kinaenda 'smoothly' basi ujue kuna maelewano na kila mmoja anakula asilimia yake vizuri bila kumuonea wivu mwenzie. Ila mgogoro huo uliopo hapo ni kwakua hakuna maelewano sasa kila mmoja anatumia mamlaka yake kumzuia mwenzie kupata riziki bandia.
Huyo mwalimu na mtendaji wa kata wametumika kama chambo.
Ewe mwananchi unayepita humu, usifadhaike wala kufurahishwa sana na matukio ya kisiasa kwani ni miradi ya watu na usipokuwa makini na wewe utatumika kama chambo. Wewe furahia kupata ufahamu wa ulimwengu wa kisiasa kama elimu nyingine tu ya ziada na zipo nyakati elimu hii itakusaidia kwakuwa hakuna elimu isiyokuwa na faida.
Kazi ya mwananchi ni kupiga kura na kulipa kodi. Ushabiki ni kupoteza muda na kudumaza akili kama haukulipi, usiige wala usikurupuke. Mashabiki wazuri na maarufu wanalipwa pesa nzuri, jipange!
Shida wakurugenzi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu huwa na viburi haswa...Kama huyu zipora Liana..halafu anajiita mlokoleHii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Tena makazini wamejaa wakijifanya walokokole kumbe unafiki tu na njia ya kufanikisha ushetwani uliojificha ndani yao.Mungu adhihakiwi wanadamu, acheni unafiki, mtadhalilika mchana kweupeNi halali mtu kudanganya kwamba ni mlokole wakati hana ulokole hata wa kuchovya ?
Huyo mama ndiyo staili yake.Its theother way round.
Meya kamvumilia sana huyu mama.
She is throwing her weight around na kuwaterrorise wafanyakazi.
Unasikia kwenye clip Meya akimlinda Mwalimu aliyefichua uozo wa Management ya Ded kwa kuzembea kujenga darasa.
Ded aliapa kumshughulikia huyo Mwalimu.