Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Usitake kudanganya umma full clip imeshatembea aliyedhalilika ni meya
Its theother way round.
Meya kamvumilia sana huyu mama.
She is throwing her weight around na kuwaterrorise wafanyakazi.

Unasikia kwenye clip Meya akimlinda Mwalimu aliyefichua uozo wa Management ya Ded kwa kuzembea kujenga darasa.
Ded aliapa kumshughulikia huyo Mwalimu.
 
Hayo mambo ndo yasiyochelewa watu kuanza kupigana ngumi.
Kila mmoja anajiona yeye yuko juu ya mwenzake.
 
Huyo baba anaonekana hana busara kabisaaa. Ndio mmjue wakina baba, zama hizi wakina mama hatutakubali kuonewa makazini. Big up Bi Mkurugenzi.
 
Huyu Mama ndio aina ya viongozi wanaohitajika. Kudos nyingi kwake. Mama shikilia hapo hapo. Lazima taratibu zifwate hata kama watu watanuna huko vikaoni.
 
Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
kwa hio muislam mmoja akikutukana kwa akili zake ndio uanze kuukejeli uislam wote?mjifunze ku challenge vizuri.

Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo.
CHADEMA wameingiaje hapo?
Practice what you preach
 
Mh. Songoro Mnyonge, diwani mzoefu, wa muda mrefu na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa mno wilaya ya KINONDONI.....
Huyo Songoro na madiwani wake wa Kinondoni ni mafisadi wakubwa, sasa huyo mama Liana ndio ameletwa hapo kunyoosha mambo na ndio maana wanamletea figisu!
Nani asiyejua kuwa wengi wa madiwani wa Kinondoni ni wadau wa madawa ya kulevya? Kuna wengine hata wanhusishwa na kuyatumia madawa hayo.
Mama Liana ni mzoefu ndio maana ameletwa Kinondoni hivyo Songoro na genge lake wajitathmini!
 
Hii ndio siasa, Kama huijui kaa kimya ujifunze kwanza
Kuna upigaji/ wizi/ ufisadi, rushwa, fitna n.k. 'It's all about the money'
Hakuna mwanasiasa msafi, naamini hivyo, hakuna!
Ukikuta kikao kama hicho kinaenda 'smoothly' basi ujue kuna maelewano na kila mmoja anakula asilimia yake vizuri bila kumuonea wivu mwenzie. Ila mgogoro huo uliopo hapo ni kwakua hakuna maelewano sasa kila mmoja anatumia mamlaka yake kumzuia mwenzie kupata riziki bandia.
Huyo mwalimu na mtendaji wa kata wametumika kama chambo.

Ewe mwananchi unayepita humu, usifadhaike wala kufurahishwa sana na matukio ya kisiasa kwani ni miradi ya watu na usipokuwa makini na wewe utatumika kama chambo. Wewe furahia kupata ufahamu wa ulimwengu wa kisiasa kama elimu nyingine tu ya ziada na zipo nyakati elimu hii itakusaidia kwakuwa hakuna elimu isiyokuwa na faida.
Kazi ya mwananchi ni kupiga kura na kulipa kodi. Ushabiki ni kupoteza muda na kudumaza akili kama haukulipi, usiige wala usikurupuke. Mashabiki wazuri na maarufu wanalipwa pesa nzuri, jipange!
 
Mwenyekiti kazi yake nini?
Ilibidi nitafute video yenye tukio zima lilipoanzia. Huyo mama alivurugwa, alikosa ethics kabisa na hakumuheshimu mwenyekiti wa kikao hata kama alikuwa anaprotest haki yake ya kusikilizwa.

Alitengenezewa zengwe na madiwani kupitia mkuu wa shule na hao watendaji wingine.
 
Hii ndio siasa, Kama huijui kaa kimya ujifunze kwanza
Kuna upigaji/ wizi/ ufisadi, rushwa, fitna n.k. 'It's all about the money'
Hakuna mwanasiasa msafi, naamini hivyo, hakuna!
Ukikuta kikao kama hicho kinaenda 'smoothly' basi ujue kuna maelewano na kila mmoja anakula asilimia yake vizuri bila kumuonea wivu mwenzie. Ila mgogoro huo uliopo hapo ni kwakua hakuna maelewano sasa kila mmoja anatumia mamlaka yake kumzuia mwenzie kupata riziki bandia.
Huyo mwalimu na mtendaji wa kata wametumika kama chambo.

Ewe mwananchi unayepita humu, usifadhaike wala kufurahishwa sana na matukio ya kisiasa kwani ni miradi ya watu na usipokuwa makini na wewe utatumika kama chambo. Wewe furahia kupata ufahamu wa ulimwengu wa kisiasa kama elimu nyingine tu ya ziada na zipo nyakati elimu hii itakusaidia kwakuwa hakuna elimu isiyokuwa na faida.
Kazi ya mwananchi ni kupiga kura na kulipa kodi. Ushabiki ni kupoteza muda na kudumaza akili kama haukulipi, usiige wala usikurupuke. Mashabiki wazuri na maarufu wanalipwa pesa nzuri, jipange!
Na Mwendazake vipi hapo?
Kununua ndege kwa viroba vya pesa, na hataki kukaguliwa na CAG!
 
Meya anaonekana analake jambo huwezi kumtukana namna hiyo Mkurugenzi huku unamsonta kama mtoto mdogo sijui alikuwa anataka sifa kwa madiwani wenzie...!
 
Ni halali mtu kudanganya kwamba ni mlokole wakati hana ulokole hata wa kuchovya ?
Tena makazini wamejaa wakijifanya walokokole kumbe unafiki tu na njia ya kufanikisha ushetwani uliojificha ndani yao.Mungu adhihakiwi wanadamu, acheni unafiki, mtadhalilika mchana kweupe
 
Its theother way round.
Meya kamvumilia sana huyu mama.
She is throwing her weight around na kuwaterrorise wafanyakazi.

Unasikia kwenye clip Meya akimlinda Mwalimu aliyefichua uozo wa Management ya Ded kwa kuzembea kujenga darasa.
Ded aliapa kumshughulikia huyo Mwalimu.
Huyo mama ndiyo staili yake.
Mfanyakazi chini yake asiyekubaliana naye, haraka anampeleka TAKUKURU kubambika kesi, sasa njia hiyo imefungwa na Mama Samia.
Nina ndugu yangu alilalamika sana juu ya hilo huyu mama akiwa Ilala.
Apambane na hali yake.
 
Back
Top Bottom