Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
CCM inapenda mno kuwatumia watu duni .Hivi hata huo Uwenyekiti wa TUME aliupatapataje.... Au ndiyo Ukada wenyewe huo!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM inapenda mno kuwatumia watu duni .Hivi hata huo Uwenyekiti wa TUME aliupatapataje.... Au ndiyo Ukada wenyewe huo!?
😆😆😆😆Kijana mdogo kichwa chako kipo hivi, Je ukifika umri wa Jecha utakuaje?
Kwasasa wewe na Jecha ni sawa sawa.
Lisu hatoweza mjadala na wewe mkuu,
alipigwa maswali na mabeberu akashindwa kujibu tangia hapo mabeberu wakaanza kumpuuza.
Nimeangalia hiyo clip tena ili kupata kicheko kizuri tena kabla ya kulala. Bila shaka nitapata usingizi mzuri.
Muulize Bashite na baba yakeLissu alikuwa na laana gani hadi akapigwa risasi ?
1915 mpaka 1918 hivi alisha zaliwa huyu? Kweli laana ya usaliti ni mbaya sana
We jamaa una undugu na@Bia yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Utajaza Wewe mwenyewe
Au ndo @Bia yetu wa chadema[emoji23][emoji23][emoji23]
Gambo hakukosea kuwaiteni nyinyi uvccm kuwa ni wachawi
Video imechezewa na kuongezwa maneno.
Umahiri wao uko kwenye kutenda dhambi tu.
Mimi lissu namlaza kwa hoja sina haja ya kumtandika risasi
Nimeomba mjadala na lissu asiogope
Hakuwa na laana ila wapumbavu wa Lumumba wakitumia usalama wasiokuwa na nidhamu wakisaidiwa na bashite walitekeleza upumbavu waoLissu alikuwa na laana gani hadi akapigwa risasi ?
Kwani Lissu ameshindwa kujieleza?Nimemuuliza mleta hoja km mtu kushindwa kujieleza ni laana je lissu kupigwa risasi ni laana pia?
Atakuja kujitangaza uyo mzee kuwa ni rais