video, ligi yetu imeingiliwa, wachezaji wamefungwa na Yanga lakini wanacheka na kutaniana, mechi ya Pamba yatajirudia haya haya

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti

Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na moja wao akitaniana na mchezaji wa Yanga.

Kwa haya yanayoendelea, shughuli ni pevu sana katika safari ya ubingwa

Ukiwa sio mtu wa mpira vitu kama hivyo utaona ni maajabu. Yawezekana wewe peke yako ndio ukabaki unashangaa
 
Tarehe 8 ni siku ya kutuambia mnadhaminiwa na nani.
 
Mpira sio uadui na wachezaji ni familia ndio maana unaweza leo ukawa mchezaji wa simba na kesho ukawa mchezaji wa yanga hivyo hawawezi kununiana coz hawajui kesho yao itakuwaje uhasama mnao nyie mashabiki hasa wale mashabiki Oya oya
 
kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti

Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na moja wao akitaniana na mchezaji wa Yanga.

Kwa haya yanayoendelea, shughuli ni pevu sana katika safari ya ubingwa

View attachment 3250957
Malalamiko mengine ni ya kijinga mpaka basi. Kama ni hivyo basi FIFA watoe tamko la kusema mpira wa miguu ni mchezo wa uadui. Kwa hiyo wachezaji wa timu pinzani ni marufuku kusalimiana hadharani kabla na baada ya mchezo hata kama ni ndugu/marafiki.
 
kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti

Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na moja wao akitaniana na mchezaji wa Yanga.

Kwa haya yanayoendelea, shughuli ni pevu sana katika safari ya ubingwa

View attachment 3250957
Kwani ni vita? Mpira si mchezo wa vita kwamba mkifungwa mnanuniana mnakuwa maadui hakuna kusalimiana wala kucheka mkizungumza.
 
Back
Top Bottom