round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Malalamiko mengine ni ya kijinga mpaka basi. Kama ni hivyo basi FIFA watoe tamko la kusema mpira wa miguu ni mchezo wa uadui. Kwa hiyo wachezaji wa timu pinzani ni marufuku kusalimiana hadharani kabla na baada ya mchezo hata kama ni ndugu/marafiki.kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti
Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na moja wao akitaniana na mchezaji wa Yanga.
Kwa haya yanayoendelea, shughuli ni pevu sana katika safari ya ubingwa
View attachment 3250957
Kwani ni vita? Mpira si mchezo wa vita kwamba mkifungwa mnanuniana mnakuwa maadui hakuna kusalimiana wala kucheka mkizungumza.kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti