PreGE2025 VIDEO: Lissu agoma kuzungumza na mawakili wake: Nimezungukwa na Askari, hii inawezekanaje?

PreGE2025 VIDEO: Lissu agoma kuzungumza na mawakili wake: Nimezungukwa na Askari, hii inawezekanaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alivyogoma kuzungumza na Mawakili wake wakati Askari wamemzunguka.

Lissu anahoji;

"Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for consultation. Nikiwa gerezani askari wananizunguka. Hakimu amesema nibaki na mawakili wangu bado wamenizunguka. Halafu mmewaachia. How come? Hii inawezekanaje, hatuta zungumza.."

Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande​

 
Haki itashinda na ccm wanapenda mtu asiyezijua haki zake ili wamburuze vizuri

Siku wanazozidi kuzisogeza hawawezi kuficha aibu watakayokwenda kuipata.
 
Back
Top Bottom