The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Acha sultani ashughulikiweMfadhili Mbuzi tu one day utamnywa Supu
Lissu amkana Mbowe kuwa hakumleta Chadema..
Ndiyo shida watu waudaku wanapojaribu kujipenyeza kwenye mambo serious. Hivi huko Clouds hawana watu kweli wanaoweza kwwnda kuhoji watu aina ya Tundu Lissu kwenye mambo critical kama haya?
Mkuu hii ipo LIVE?
Mtangazaji.Umemuonea aibu nani?
Lissu au mtangazaji?
Kada wa ccm anajiandaa kwa viti maalum huyo.Mwandishi kilaza, her ego was touched when told hufuatilii, ni kweli she sounds uninformed and clueless. What a pity hii ndio kizazi cha uandishi wa sasa
Haviendani na maudhui. Boresha IQ yakoKAZI ni kipimo cha UTU
Huyo mwanamke ni mpumbav hana akili Wala uwezo wa kuhojiana na LisuMwandishi kilaza, her ego was touched when told hufuatilii, ni kweli she sounds uninformed and clueless. What a pity hii ndio kizazi cha uandishi wa sasa
Waandishi wengi hawana shuleAmedhalilika halafu hataki kukubali, Lissu kamuonea huruma kampa somo kwamba ukienda kumuhoji mtu fuatilia mahojiano yake mengine.