Pre GE2025 Video: Lissu amchabanga mwandishi wa Clouds, 'unaonekana hufuatilii kabisa maneno ninayozungumza na Media'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amedhalilika halafu hataki kukubali, Lissu kamuonea huruma kampa somo kwamba ukienda kumuhoji mtu fuatilia mahojiano yake mengine.

Na Lissu katumia busara zaidi kwa kumtajia vyombo vya kimataifa vilivyomhoji BBC na DW, kwamba Clouds ni chombo kidogo afahamu hilo.

Sasa Kija anapomwambia Lissu hawezi kufuatilia kila kitu ni vitu gani anavyoona anaweza kuwa mzania sawa na Lissu? Mambo anayofuatilia Lissu atayaweza?
Mpumbavu sana huyo dada.
Halafu inaonekana ana Ego. Hataki kuelekezwa
 
Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kija Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.

"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"
Huyo Kija si mwana ccm mpuuzi mmoja hivi? Hamna kitu hapo, Nafurahi sana Jamaa amemkumbali Mzee Mbowe, CCM wanateseka sana
 
Hakuna mtu Dunia hii asiekosea ukijua ya hapa wengine Wanajua ya kule tumetofautiana hakuna aliekamilika asilimia 100%
 
Huyu hafai kuwa muandishi wa habari.
Mwandishi gani anataka uamini kile alichokiamini yeye na kutata ukubali?

Angalia amekuwa uchi sasa.
Sijui alitokaje kwa aibu aliyoipata?
 
Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kija Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.

"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"
Binti anataka kugombana kabisa na Bwana Lissu, poor poor
 
Lissu ni "mropokaji" jamani, mnapofanya intavyuu inabidi mhakikishe wapo waandishi nguli wanaoweza kumtuliza vinginevyo ngumi zinaweza kupigwa😃
 
Amedhalilika halafu hataki kukubali, Lissu kamuonea huruma kampa somo kwamba ukienda kumuhoji mtu fuatilia mahojiano yake mengine.

Na Lissu katumia busara zaidi kwa kumtajia vyombo vya kimataifa vilivyomhoji BBC na DW, kwamba Clouds ni chombo kidogo afahamu hilo.

Sasa Kija anapomwambia Lissu hawezi kufuatilia kila kitu ni vitu gani anavyoona anaweza kuwa mzania sawa na Lissu? Mambo anayofuatilia Lissu atayaweza?
Mpumbavu sana huyo dada.
Sasa hapo mpe mijadala ya mapenzi uone anavyotiririka.

Wabongo wengi ukitoa story za mapenzi kichwani weupe hadi sio poa. Huyo dada ni mfano.
 
Back
Top Bottom