Le professel
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 636
- 960
Huyu dada hamna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu inaonekana ana Ego. Hataki kuelekezwaAmedhalilika halafu hataki kukubali, Lissu kamuonea huruma kampa somo kwamba ukienda kumuhoji mtu fuatilia mahojiano yake mengine.
Na Lissu katumia busara zaidi kwa kumtajia vyombo vya kimataifa vilivyomhoji BBC na DW, kwamba Clouds ni chombo kidogo afahamu hilo.
Sasa Kija anapomwambia Lissu hawezi kufuatilia kila kitu ni vitu gani anavyoona anaweza kuwa mzania sawa na Lissu? Mambo anayofuatilia Lissu atayaweza?
Mpumbavu sana huyo dada.
Kumuhoji mtu kama Lissu lazima uwe smart na mfuatilizi wa mamboHuyu dada bureee kabisaaaa!
Anamkataza Mh TUNDU asimtaje Abdul
Na baadae anaendelea na maswali yake ya hovyo hovyo
Huyo Kija si mwana ccm mpuuzi mmoja hivi? Hamna kitu hapo, Nafurahi sana Jamaa amemkumbali Mzee Mbowe, CCM wanateseka sanaKatikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kija Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.
"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"
😂😂😂😂Safi, alijua anamuhoji Jay Melody?
Binti anataka kugombana kabisa na Bwana Lissu, poor poorKatikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kija Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.
"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"
Sasa hapo mpe mijadala ya mapenzi uone anavyotiririka.Amedhalilika halafu hataki kukubali, Lissu kamuonea huruma kampa somo kwamba ukienda kumuhoji mtu fuatilia mahojiano yake mengine.