Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Alafu huyu dada anajifanya anakomaa pindi alipoona Lisu anamkosoa utafikiri anajua vile kumbe ni dada kilaza.Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kijakazi Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.
"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"
Alafu katika watangazaji vilaza kati ya hawa watatu mara nyingi huyu dada katika vipindi wanavyoviendeshaga namuonaga ni kilazi kweli.