Lisipolipuka mpaka mwisho wakatoe kafaraWakuu,
Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake.
Ni hasara.
Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo wakisahau kabisa kuwa hilo gari likilipuka ni hatari sana kwao.
Watu wana confidence sana kwa kweli. Mimi nikiwa kwenye daladala au private car nikipishana tu na lori la mafuta napata trauma ila watu wana ujasiri kabisa na kwenda na madumu ya mafuta kukinga.
Nimepata maswali mengi mno.
View attachment 3182680
Duh, mkuu hii mbona kali sanaAje mwamba awashe kiberiti serikari ihangaike kuzika
Si hawana akili mzee,Hawajifunzi hao.Duh, mkuu hii mbona kali sana
Umasikini hupunguza uwezo wa kufikiri na kutafakari!Wakuu,
Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake.
Ni hasara.
Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo wakisahau kabisa kuwa hilo gari likilipuka ni hatari sana kwao.
Watu wana confidence sana kwa kweli. Mimi nikiwa kwenye daladala au private car nikipishana tu na lori la mafuta napata trauma ila watu wana ujasiri kabisa na kwenda na madumu ya mafuta kukinga.
Nimepata maswali mengi mno.
View attachment 3182680
Ni upumbavu tuTatizo ni UMASIKINI, NJAA
Yasitokee yale ya morogoro tu
Tanzania ina tayizo la kiroho zaidiWakuu,