Video: Lori la mafuta lapata ajali Songwe. Wananchi hawajifunzi, wahangaika kujichotea mafuta ya bure

Hii nchi kuna mahali tumekosea,huo siyo ujasiri ni kama kuna internal forces inayofanya ujinga wetu uwe unique siku zote mahali popote pa nchi yetu,ni ajabu sana
 
Wakuu,

Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake.

Ni hasara.

Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo wakisahau kabisa kuwa hilo gari likilipuka ni hatari sana kwao.

Watu wana confidence sana kwa kweli. Mimi nikiwa kwenye daladala au private car nikipishana tu na lori la mafuta napata trauma ila watu wana ujasiri kabisa na kwenda na madumu ya mafuta kukinga.

Nimepata maswali mengi mno.

View attachment 3182680
Umaskini ni kitu ya kupiga vita sana.
 
Kikubwa wahakikishe kila mtu ana kidumu. Asiye na kidumu huyo amekuja kuchomoa betri, adhibitiwe.
 
Back
Top Bottom