Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Uhai hauna thamani mbele ya mali!Wakuu,
Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake.
Ni hasara.
Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo wakisahau kabisa kuwa hilo gari likilipuka ni hatari sana kwao.
Watu wana confidence sana kwa kweli. Mimi nikiwa kwenye daladala au private car nikipishana tu na lori la mafuta napata trauma ila watu wana ujasiri kabisa na kwenda na madumu ya mafuta kukinga.
Nimepata maswali mengi mno.
View attachment 3182680
Umaskini hauhalalishi mtu kufanya huu ujinga. Hapa unacheza na kifo.Tatizo ni UMASIKINI, NJAA
Yasitokee yale ya morogoro tu
KUNA WAVUTA SIGARA NAO HAWAKOSEKANI, WANAKUJA KUSHANGAA HUKU SIGARA IPO MDOMONI.tumejifunza, hatutachomoa betri tena ili tubebe mafuta vizuri
nasikia munaweka na mlinzi kuhakikisha hakuna wa kuchomoa betri,...tumejifunza, hatutachomoa betri tena ili tubebe mafuta vizuri
Zali La MentaliSikio la kufa huwa halisikii dawa
Mkuu, Dizeli hiyo sio rahisi kuwaka, sijui hicho chumba ni cha 7000lts au zaidi daah... mafuta ya transit hayo, TRA wanataka kodi yao, Tanroads nao wanakuja na Fine yao, bado watu wa Mazingira nao na fine yao.Lisipolipuka mpaka mwisho wakatoe kafara