The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Kuingia Main road kwa reverse bila kutuma mtu azuie magari ambayo teyari yako Barabarani ni kosa.Huyu mpuuzi anaonekana alikua ana ona kabisa mwenzie anarudi nyuma yeye anafosi kuja kwakua yupo main road.
Shenzi kbsa
Umaskini ni kitu ya kupiga vita sana.Wakuu,
Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake.
Ni hasara.
Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo wakisahau kabisa kuwa hilo gari likilipuka ni hatari sana kwao.
Watu wana confidence sana kwa kweli. Mimi nikiwa kwenye daladala au private car nikipishana tu na lori la mafuta napata trauma ila watu wana ujasiri kabisa na kwenda na madumu ya mafuta kukinga.
Nimepata maswali mengi mno.
View attachment 3182680

Unapenda vifo.Aje mwamba awashe kiberiti serikari ihangaike kuzika
Vifo vya wajinga navipenda sana aisee.Unapenda vifo.