VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
 
Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii no kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
View attachment 1589168
Hii ndio faida ya kujenga ukuta
 
Kesi hamna hapo kama kawaida ya Serikal ya CCM ikihusishwa na jambo ,Mwangosi aliuwawa mchana (R.I.P.) Dada yetu Akwilina (R.I.P)nae aliuwawa kweupe peee matokeo yao wote hawa kila Mtu anayajua.Yani Kifo kimeshakuwa jambo la kawaida kabisa sawa sawa na Binadamu kumkanyaga Mende.Sawa twendeni tu tutafika Siku moja.
 
Hii inachochea chuki dhidi ya Rais na serikali yake. Magufuli mwisho wa nyakati ndo huu
 
Back
Top Bottom