VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

Wewe mtu unahitaji kupimwa ,sio watu Bali kwa mbali nasikia kelele za furahha
 
Nimeskia Jeshi la Polisi limetoa tamko, kama kuna mwenye hiyo video atupie tujiridhishe.
 
Minerals in Africa are a curse..., not a Blessing....
 
Minerals in Africa are a curse..., not a Blessing....
 
Minerals in Africa are a curse..., not a Blessing....
In my opinion, that may be an exaggeration. In Tanzania..No longer a curse because we have seen our President Magufuli taking actions that could transform the mining sector.
 
Siri huwa mwisho watu wawili tu... akiongezeka wa tatu matokeo yake ndo hayo.
 
Mambo haya yananikumbusha vita ya wasonjo Mererani watu walikuwa wanakatwa mapanga mchana kweupe kama wanyama unakuta mahali mtu kamwagwa utumbo nje halafu watu wanaendelea na shughuli zao, hii nitasimulia wajukuu zangu maana niliyoyaona katika pilika za kutafuta maisha yanatisha kwenye mji wa Mererani.
 
Which actions?
In my opinion, that may be an exaggeration. In Tanzania..No longer a curse because we have seen our President Magufuli taking actions that could transform the mining sector.
 
Nini chanzo cha kuuawa ?
Mpaka sasa haijulikani.
Wengine wanasema kafara!
Nani kaitoa hiyo kafara?
Hatujui ni CCM, Laizer au Vyombo vya dola?

Tusubiri Pole Pole ataitisha Press na kusema wahusika ni Lissu na Chadema!
 
Back
Top Bottom