Video: Macron achapwa Kofi na mkewe mbele ya kamera. Je, huyu ndo wa kumtishia Putin?

Video: Macron achapwa Kofi na mkewe mbele ya kamera. Je, huyu ndo wa kumtishia Putin?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
This is the moment French President Emmanuel Macron appears to be pushed in the face by his wife, Brigitte, as they arrive in Vietnam. An Elysee official said "the president and his wife were relaxing one last time before the start of the trip by having a laugh", and that it was "a moment of closeness".

JF watapakia video soon
 
Nliandika sehemu kuwa Ufaransa wana Rais zezeta. Hajielewi. Watu wakabisha. Wanadhani wakati wote wazungu huwa hawakosei.

Ukimsikiliza Macron na mitizamo yake unaona tu jamaa ni bogus. Huwezi kuwa na akili timamua ukamwoa mtu aliyekuzidi umri kiasi hata mtoto wake hawezi kukuita bamdogo. Wewe utakuwa na tatizo. Angalia watu mashuhuri wengi ambao walioa either Wanawake wakubwa sana au wanawake wadogo sana. Utagundua wana matatizo flani.

Sasa sijui alimuudhi nini my wife wake akamwasha kibao wakiwa wanataka shuka kwenye ndege.
View attachment 3346468
Tatizo lilianzia hapa, mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
 
Nliandika sehemu kuwa Ufaransa wana Rais zezeta. Hajielewi. Watu wakabisha. Wanadhani wakati wote wazungu huwa hawakosei.

Ukimsikiliza Macron na mitizamo yake unaona tu jamaa ni bogus. Huwezi kuwa na akili timamua ukamwoa mtu aliyekuzidi umri kiasi hata mtoto wake hawezi kukuita bamdogo. Wewe utakuwa na tatizo. Angalia watu mashuhuri wengi ambao walioa either Wanawake wakubwa sana au wanawake wadogo sana. Utagundua wana matatizo flani.

Sasa sijui alimuudhi nini my wife wake akamwasha kibao wakiwa wanataka shuka kwenye ndege.
View attachment 3346468
Labda alimiambia kua kaandaliwa pisi
 
Wakuu,

Kulikuwa na zile tetesi kwamba huyu Macron ameolewa na huyu Brigite na kwamba kuna siri kubwa sana katika mahusiano ya wawili hawa.

Kwa hiki kilichotokea leo, itoshe kusema kwamba kuna ukweli katika tuhuma hizi.

Hivi mke wa Rais unapata wapi nguvu ya kumpiga mumeo, tena on a public domain?

Nimewaza kipindi kile, Janeth Magufuli amnase kibao Jiwe tena sio kwamba wako chumbani lakini iwe in public kiasi hiki, kungekalika kweli?

Macron kama kweli hajaolewa na huyu mwanamke anatakwa amuache haraka sana!

Wanaume siku hizi mmekuwaje jamani?

 
Katika dunia ya leo ya AI sio kila kitu ni cha kukiamini.
 

1748268558955.png

Na cha kuongezea Rais wa Ufaransa watoto wake wa kambo wawili wamemzidi umri. Tarehe za kuzaliwa za watoto wa mke wake 👇 👇 👇 👇
1748268716759.png

Tarehe ya kuzaliwa ya Macron👇👇👇
1748268802151.png
 
View attachment 3346542
Na cha kuongezea Rais wa Ufaransa watoto wake wa kambo wawili wamemzidi umri. Tarehe za kuzaliwa za watoto wa mke wake 👇 👇 👇 👇
View attachment 3346545
Tarehe ya kuzaliwa ya Macron👇👇👇
View attachment 3346546
The video is Fake hao sio Macron na Mke wake bali ni Jenna Johnson & Jack Monreal (Ni sawa nakwambia hili sio Chungwa ni Chenza wewe unaleta proof kwamba yote ni matunda !!!!!

View: https://youtu.be/QwWdBSTu6x4?si=gDVG6qMExvzMOAaT
 
Hio video ni kweli hilo bwege sana mwanaume gani mzima ataowa mtu kama mama yake aliagopa nini kuoawa msichana mdogo.
 
Back
Top Bottom