Acha upuuzi.Labda alimiambia kua kaandaliwa pisi
Dah,Tatizo lilianzia hapa, mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
View attachment 3346480
Kwao ni kawaida sana hayoThis is the moment French President Emmanuel Macron appears to be pushed in the face by his wife, Brigitte, as they arrive in Vietnam. An Elysee official said "the president and his wife were relaxing one last time before the start of the trip by having a laugh", and that it was "a moment of closeness".
JF watapakia video soon
Putin ni kicheche kama kawaida..Putin ana mke? Anaitwa nani?
MhhhTatizo lilianzia hapa, mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
View attachment 3346480
Tatizo lilianzia hapa, mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
View attachment 3346480
Umelitizama hili jambo kweny mtizamo wa kiafrika zaidWakuu,
Kulikuwa na zile tetesi kwamba huyu Macron ameolewa na huyu Brigite na kwamba kuna siri kubwa sana katika mahusiano ya wawili hawa.
Kwa hiki kilichotokea leo, itoshe kusema kwamba kuna ukweli katika tuhuma hizi.
Hivi mke wa Rais unapata wapi nguvu ya kumpiga mumeo, tena on a public domain?
Nimewaza kipindi kile, Janeth Magufuli amnase kibao Jiwe tena sio kwamba wako chumbani lakini iwe in public kiasi hiki, kungekalika kweli?
Macron kama kweli hajaolewa na huyu mwanamke anatakwa amuache haraka sana!
Wanaume siku hizi mmekuwaje jamani?
Putin katemwa mke miaka 8 ishapitaKupigwa na mkeo hadharani huko kwa wazungu wala si jambo la kushangaza. hata huyo Putin huenda alishawahi kupigwa kibao na mkewe.