Video: Macron achapwa Kofi na mkewe mbele ya kamera. Je, huyu ndo wa kumtishia Putin?

Kwao ni kawaida sana hayo
 
Mume mwenyewe hazimtoshi,kaacha mabinti warembo mtaani kaoa "jitu" lishakoma hedhi! How?
 
Mimi hata sijaona kitu hapo ni mambo ya mitandao tu na hata hivyo kwani angeenda yeye kupigana na Putin wakiwa wawili kama Idi Amin alivyoomba wapigane na Nyerere ulingoni wawili ili kuepusha umwagaji wa damu usio wa lazima.
 
Nimependa hao wahudumu wa ndege hasa hao huyo binti alivyoenda kuziba haraka kujipotisha upande wao ili tukio lisionekane.
 
Umelitizama hili jambo kweny mtizamo wa kiafrika zaid
 
Ingekuwa Macron ndo kampiga singi mkewe, hizo kelele zake zingesikika mpaka Mushtara huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…