VIDEO: Madhara ya kupenda Ma sugar-mummy - huyo hapo Harmonize na Wolper

VIDEO: Madhara ya kupenda Ma sugar-mummy - huyo hapo Harmonize na Wolper

It is just a matter of time before coming to get a real picture...time never lies
 
Hivi yule aliesema Uzee mwisho chalinze mjini kila mtu ni baby mlimuelewaje? Mchimba kisima hua anaingia mwenyewe nyie kelele za nini?
 
Acheni utani, unatoka kuwa muuza maji mpka kwa wolper, mmakonde kashikwa pabaya sio mtihani mdogo
 
Nahisi bosi wake amemuambia kwamba amfuate nyayo zake ili aishi kwa kiki
Ila dogo atapotea,dalili zote zipo
Mziki wa Bongo na issue hizo atakuja kusoma number kwa kuiga
 
Back
Top Bottom