Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Bila shaka pesa ya hii nchi ipo mikononi mwa mafisadi , mama anakusanya huko na kule ikifika mezani wahuni wanagawana , the worst ni kuwa wengi huficha hzo hela nje ya nchi ,
Kama hii video inaonyesha kabisa huyu fisadi hajui hata pa kuzipeleka hzo hela ameishia kuzitandaza tuu sebuleni .....
Niwashauri kitu mafisadi mana sioni wa kuwadhibiti kwa sasa , basi mkimaliza kugawana hzo hela , mfano fisadi aliye mdogo sana hakodi mil 500 kwa mwaka, tafta challenge hata ya vijana 100 wenye idea za uwekezaji , uzipitie wale utakaoona wanajielewa , uwakopeshe au uwape kila mmoja 1 million ya mtaji , utakuwa umesaidia sana , mafisafi 1000 mkifanya hvyo kila mwaka , ina maana vijana laki moja kila mwaka wananufaika,
Basi million 100 zinasaidia vijana , nyingine waweza tumia, ni ushauri tuu