Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO

View: https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4

Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii.

---
Mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zilizonyesha katika wilaya ya Kondoa na mkoa wa Manyara yamesababisha madhara yaliyoathiri maeneo mbalimbali ya utalii mkoani Manyara

Moja kati ya eneo lililoathirika kwa kiasi kikubwa ni eneo la Maramboi mkoani Manyara ambapo huwa ni sehemu maalumu ya kambi za watalii ambao hufika kumpumzika kabla na baada ya kwenda kwenye mbugani.
 
Huyu Chambulo anamwambia Makonda,"Sikiliza,Mkuu wa Mkoa,mimi kampuni yangu,nimepata faida ya sh. bilioni tisa,yaani bilioni with a 'b'.
Sasa,nimelipa kodi ya 0.4 per cent,kama ninavyodaiwa na serikali.
Sasa kwa nini watu bado wananiandama?"
Swali langu lilikuwa kama kapata faida bilioni tisa,kwa nini serikali isimyang'anye bilioni moja?
 
Hao watu walijenga vipi kwenye bonde kwa nini hawakutumia wataalamu Lake Manyar Hoteli ilijengwa tangu ukoloni ipo juu inaangalia bonde la Manyara vile vile Serena Manyara imejengwa juu sehemu salama. Hii royal tour tena bado kuna part two inakuja ikimjumuisha yule wa Zanzibar
 
Hapo Maramboi nikipitaga na Kapricon napachukulia simple; wamasai wakirandaranda huku na kule kuswaga vimifugo vyao! Kumbe ni sehemu ya mabilionea kupumzika! Hii dunia hii!
 
Huyu Chambulo anamwambia Makonda,"Sikiliza,Mkuu wa Mkoa,mimi kampuni yangu,nimepata faida ya sh. bilioni tisa,yaani bilioni with a 'b'.
Sasa,nimelipa kodi ya 0.4 per cent,kama ninavyodaiwa na serikali.
Sasa kwa nini watu bado wananiandama?"
Swali langu lilikuwa kama kapata faida bilioni tisa,kwa nini serikali isimyang'anye bilioni moja?
Utapendekeza turudi kwenye zama za giza za yule dhalim wa chato?
 
Huyu alijenga ndani ya ziwa kama Nyumba za kina Buricheka au yale Madungu ya Rufiji

Hata ujengaji wake ni wa oneday Mafuriko
 
Huyu alijenga ndani ya ziwa kama Nyumba za kina Buricheka au yale Madungu ya Rufiji

Hata ujengaji wake ni wa oneday Mafuriko
Hahahaaha bulicheka alijenga kijumba kwenye mnazi sio majini
 
Back
Top Bottom