Video: Magari Mapya ya Polisi Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025

Video: Magari Mapya ya Polisi Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mara hii tunaenda kupigania kwenye mabakuli yakupigia kura!, nyie wenyewe mtaona aibu tu!
 
Badala ya kufanya mambo ya msingi mnawaza uchaguzi tu. Ndo mana Kagame kawajazia mapandikizi saivi mmekaa kama mijinga tu.

Hivo vifaa vimetusaidiaje kiuchumi? Ndo mana Kagame anawatukana huko kuwa hamjui mnalofanya na anawadhihaki.
 
Pigeni picha muweke kwenye mabango ya mama nchi nzima, watu washaanza kuzoea vitisho vyenu, muda unafika hizo pilipili zenu watazimeza tu kama tangawizi! Watu wenye akili wanapambana kununua mali za kuendeleza watu wao nyie kutwa mnatafuta silaha za kuua ndugu zenu
 
Yani wanajigamba kabisa " Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025" kweli evolution process ya watu weusi haijakamilika wakawa binadamu na hasa watanzania aisee.

Halafu wanajifanya wapo kiroho kuliko binadamu yeyote, kila baada ya sentensi wanataja mungu, yesu na allah, unafiki mtupu.
Kwani wewe umejipanga kuvuruga uchaguzi?
 
Kwani wewe umejipanga kuvuruga uchaguzi?
Hiyo ni sababu tu ya kujustify mauaji mnayopanga, kuna mtanzania gani wa kuvuruga uchaguzi, na definition ya kuvuruga uchaguzi ni nini? Justification ya hayo masilaha ni nini? Mna kila nguvu nani anaweza kuwagusa? Mmeshazoeleka mjue, mtatisha watu muda mwingi lakini sio muda wote, bado kidogo sana watu wataona kufa ni sawa tu na kuishi na watakuwa tayari kuhamia popote kati ya hizo sehemu 2 na hapo ndio mtapata kujua mlichokwa siku nyingi sana
 
Mauaji ya kina nani? Magari ndio hayo unayaona nani Wameuwawa?
 
Back
Top Bottom